4,99 €
Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili – Kiingereza), na online audiobook na video Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... ♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's book, age 2 and up (Swahili – English), with online audio and video Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends… ♫ Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks and videos in both languages. ► With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
Das E-Book können Sie in Legimi-Apps oder einer beliebigen App lesen, die das folgende Format unterstützen:
Seitenzahl: 5
Veröffentlichungsjahr: 2022